Wednesday, 2 December 2009
Monday, 30 November 2009
Sunday, 29 November 2009
Saturday, 28 November 2009
Friday, 27 November 2009
Ni ile party ya kujiachia mpaka kunakucha...
wote mnakaribiswa! wewe utatoka vipi?
kina dada kama bado hamjakamilisha maswala ya pamba basi fanya fasta tembelea hili duka ili na wewe utoke umekamilika...Kila mtu atalipuka kivyake hiyo siku.Karibuni OMG Jaydeee acha tu. yaani asante kwa kutuwekea hili duka hapa kwenye blog yako.Maana baada ya kusoma hapa nikaamua nipitie dukani kusafisha macho. ebwaana wee unaingia dukani kuna ksichana karembo sijui huyo resident stylist maana yee mwenyewe utafikiri modo, na pamba zake kali. nikaribishwa na kiyoyozi, duka lanukia utafikiri ulaya. kilicho niaacha hoi nilikaribishwa nichague kinyaji , kati ya maji baridi, wine, juice or whisky. sijaelewa bado sijawahi ona hivi before bongo. nani utaenda dukani kwake atakupatia kinywaji, na usawa huu uchumi mgumu.am very impressed. na duka lina vitu vikali. kweli fk's ni kama ulaya.. nimeamini
Posted by Devota Sebuyoya at 11:34 0 comments
Sexy Boots kina dada mshindwe wenyewe mambo ndo hayo...
Posted by Devota Sebuyoya at 10:44 5 comments

























































































